Tumbili

Tumbili

ifahamu mbegu bora ya mahindi chotara aina ya tumbili

Sifa zake

-hukomaa ndan ya muda mfupi siku 75

-hupachika kuanzia makonyo mawili na kuendelea

-punje zake ni kubwa kubwa na hujaa katika bunzi

-huvumilia mabadiriko ya hali ya hewa

-weka mbolea baada ya mche kuwa na majani saba.

0 comments :

 
Copyright © 2015. Pongwa Trading
Blogger Templates