Tumbili
Tumbili
Sifa zake
-hukomaa ndan ya muda mfupi siku 75
-hupachika kuanzia makonyo mawili na kuendelea
-punje zake ni kubwa kubwa na hujaa katika bunzi
-huvumilia mabadiriko ya hali ya hewa
-weka mbolea baada ya mche kuwa na majani saba.
PONGWA TRADING ni wauzaji wa bidhaa mbalimbali za kilimo, vipuri wasambazji kwa sasa tunapatikana wilayani Rufiji mkoani Pwani
kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0654798952
ifahamu mbegu bora ya mahindi chotara aina ya tumbili Sifa zake -hukomaa ndan ya muda mfupi siku 75 -hupachik...